Asante kwa kutuonesha fursa.Aisee habarin Wapamabanaji
Siku chache nyuma nilifanikiwa kutembea kijiji kimoja kipo Wilaya ya Kaliua kinaitwa Uliyankulu umbali wa KM 80 kutoka Tabora mjini njia ni ya vumbi lkn inapitika vizur tu, kule kuna fursa nyingi sana wanakijiji wamelala sana, fursa za biashara za mazao, maduka, migahawa, gest house yaani full of opportunities na mzunguko wa hela upo sana sijui vijana mnakwama wapi nendeni vijijin kula hela ya kutosha huko na nimepnda zaidi hiki kijiji hakina mambo ya kiswahili.
Vijana acheni kulia lia mjin ingieni chaka kuna fursa za kutosha huko tena ni emerged town ni balaaa
Uswahili ukosekane km 80 ndani huko tena kwa wanyamwezi na wasukuma!Aisee habarin Wapamabanaji
Siku chache nyuma nilifanikiwa kutembea kijiji kimoja kipo Wilaya ya Kaliua kinaitwa Uliyankulu umbali wa KM 80 kutoka Tabora mjini njia ni ya vumbi lkn inapitika vizur tu, kule kuna fursa nyingi sana wanakijiji wamelala sana, fursa za biashara za mazao, maduka, migahawa, gest house yaani full of opportunities na mzunguko wa hela upo sana sijui vijana mnakwama wapi nendeni vijijin kula hela ya kutosha huko na nimepnda zaidi hiki kijiji hakina mambo ya kiswahili.
Vijana acheni kulia lia mjin ingieni chaka kuna fursa za kutosha huko tena ni emerged town ni balaaa
Ndio hapo hapo nimeshangaa Sana jinsi mzunguko wa hela ulivyo paleKama ni hapo ninapopajua ilikua kambi ya wakimbizi enzi hizo hela ilikuwepo sana.,., sijui kwa sasa hivi kachangamkie fursa Tanzania hii Ina pesa sana na wabongo wenyewe bado sana.
mzunguko ni mkubwa subiri karanga ziive uone maaajabu ya hapo... Komaa harafu hapo sio waswahili ni mchanganyiko wa warundi na wanyarwanda , sukuma na nyamwezi nadhani picha unaliona hapoNdio hapo hapo nimeshangaa Sana jinsi mzunguko wa hela ulivyo pale
We nae acha madogo wapambane kwa akili zao bila black magicBarabara ya 13 kuna mtaalam mmoja hatari sana😀😀, kwenye utafutaji nilifika hadi huko
Ni kweli kabisa ni full mix hapa ngoja niendelee kuchunguza zaidi hapa na kuzidi kukata mitaaa na vijiji ni explore fursa zaidiHapo
mzunguko ni mkubwa subiri karanga ziive uone maaajabu ya hapo... Komaa harafu hapo sio waswahili ni mchanganyiko wa warundi na wanyarwanda , sukuma na nyamwezi nadhani picha unaliona hapo
Ulyankulu chuo cha veta barabara ya 13. Karibu sana mkuu wenyeji tupoAisee habarin Wapamabanaji
Siku chache nyuma nilifanikiwa kutembea kijiji kimoja kipo Wilaya ya Kaliua kinaitwa Uliyankulu umbali wa KM 80 kutoka Tabora mjini njia ni ya vumbi lkn inapitika vizur tu, kule kuna fursa nyingi sana wanakijiji wamelala sana, fursa za biashara za mazao, maduka, migahawa, gest house yaani full of opportunities na mzunguko wa hela upo sana sijui vijana mnakwama wapi nendeni vijijin kula hela ya kutosha huko na nimepnda zaidi hiki kijiji hakina mambo ya kiswahili.
Vijana acheni kulia lia mjin ingieni chaka kuna fursa za kutosha huko tena ni emerged town ni balaaa
Kuna mgodi wa dhahabu pia na kilimo cha tumbakuFursa kuu ya vijijini ni kilimo tu, hakuna kingine. Sasa kama wewe sio mkulima, huko bush kijana wa mjini ukatafute nini?
Tuacheni masihara, fursa kuu za vijana zipo mijini, vijijini HAPANA.
Sio Bush Kivile ile Inahadh ya WilayaFursa kuu ya vijijini ni kilimo tu, hakuna kingine. Sasa kama wewe sio mkulima, huko bush kijana wa mjini ukatafute nini?
Tuacheni masihara, fursa kuu za vijana zipo mijini, vijijini HAPANA.
Bado hujafika vijijini,,,Fursa kuu ya vijijini ni kilimo tu, hakuna kingine. Sasa kama wewe sio mkulima, huko bush kijana wa mjini ukatafute nini?
Tuacheni masihara, fursa kuu za vijana zipo mijini, vijijini HAPANA.
Nimemshika mtu shati kumvutaWe nae acha madogo wapambane kwa akili zao bila black magic