Fursa: Ufugaji wa Samaki kwa kutumia PVC Ponds

Fursa: Ufugaji wa Samaki kwa kutumia PVC Ponds

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,693
Watu wengi wamekuwa na muamko wa kufuga samaki lakini changamoto kubwa imekuwa mazingira ya kufugia. Sababu ufugaji wa samaki wengi wamekuwa wakijua unahitaji eneo kubwa na Maji mengi sana.

Ila hii sasa imerahisishwa kwa matumizi ya PvC ponds. Amabazo ni portable au Rahisi kuhamishika.
43b779cad3a345d62ced28e5a1d02ef5.jpg

Hizi zinapatikana katika size mbalimbali. Kuanzia litre 3000 na kuendelea.
fb324df7420b48e375d05365e68321fa.jpg

Kwa mfano.

Pvz hapo juu ya litre elf10 inauwezo wa kufuga samaki aina ya kambale 2000 had elfu 3000. Hii maanayake katika eneo dogo unaweza kufanya ufugaji wa samaki hata kama ni nyumba ya kupanga imradi maji yanapatikana.

Bei ya pvc pond ya litre elfu 10,000 zinapatikana kwa Bei isiyozidi m1.
Maelezo zaid piga 0759741303

098103e9549de01d645b399efaeabc64.jpg
b151822e4d00c4e4c83ca4cb74398b6e.jpg
 
Mkuu, vipi ubora wake inakaa au inadumu kwa muda gani? Hali ya hewa ya joto haiharibu PVC? au kuathiri ukuaji wa samaki?
 
Hii ni ngumu sana. Kwa spesfication zao wanasema miaka 15
 
Iko vizuri kwa kweli,je inaweza kutumika kwa muda gani?!
 
Ngoja nifuge nijilie samaki ambao hawajawekwa dawa ya kuhifadhia wafu maana afrika tunamalizana wenyewe kimya kimya....
 
Hivi unafikiri samaki 2000 - 3000 ni samaki wachache mpk ufuge kwenye lita 10,000/=. Halaf unaacha no tukutafute, njoo ujibu maswali hapa na utuambie wanaishije wakati wa usiku ambapo hewa ya oxygen ni ndogo na bado kapond ni kadogo.
 
Mkuu mkuu unauliza wanaishije wakati sisi ndyo tunawafuga kwa njia iyo na wanakuwa vizuri.

Hapa nazungumzia samaki aina ya kambale. Katika Tank kama hizi huwa tunstumia Aerators na water filters ambazo huongeza oxygen, na kufilter maji.

Pia huwa tunaweka water lettuce( Magugu maji) ambacho hutumia Nitrogen inayozalishwa tokana na kinyesi cha samaki.
 
Gharama ya hilo Tank, Aerator, filter na mbegu, ni TSh ngapi. Operation cost ni Tsh ngapi mpk kuvuna hao 2000
 
Gharama ya hilo Tank, Aerator, filter na mbegu, ni TSh ngapi. Operation cost ni Tsh ngapi mpk kuvuna hao 2000
PvC pond 1m
Mbegu 700k
Feed 2.5 - 3m
Water costs 300k ( kma ya Bomba)
Filter + aerators 500k.
 
Back
Top Bottom