Multpurpose
Senior Member
- Mar 23, 2018
- 123
- 78
Habari. Kama title inavosomeka hapo juu.
Ningependa kuwapa fursa wajasiriamali/wafanyabiashara wanaojihusisha na
°Kupika Keki
°wanaouza/kutengeneza kadi za harusi nk. na
°wapambaji wa ukumbi wa sherehe /event planners.
Kuungana na Mimi nikiwa kama wakala wao kwaajili ya matangazo ya biashara zao.
Nimepata hilo wazo baada ya kuona uhitaji upo lakini kuna uhaba wa huduma hizo nilizotaja hapo juu.
Nipo kivule, matangazo nitafanya kupitia stationary yangu.
NB: nahitaji watu ambao watakuwa serious na kazi zao. Watakaopatikana kwa urahisi pindi kazi/order ikitokea.
kwa maelezo zaidi niPM.