Fursa sandals za ngozi au za kimasai

Fursa sandals za ngozi au za kimasai

la fiesta

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
78
Reaction score
37
Habari wakuu, Mimi ni kijana mjasiriamali natengeneza viatu vYa kimasai vYa kiume na vYa kike vYa shanga na visivyo na shanga , uzalishaji kwangu ni PC 200 hadi 300 kwa siku hivyo ninahitaji wanunuzi wa jumla kutoka ndani na nje ya nchi maana uzalishaji wangu ni mkubwa na naweza pia kuzalisha zaidi ya hapo kulingana na mahitaji, ninapatikana dar es salaam
 
Picha tafadhali
 
Picha tafadhali

IMG_20180914_182926.jpg
IMG_20180914_182811.jpg
IMG_20180914_182734.jpg
IMG_20180914_182639.jpg
IMG_20180914_182620.jpg
 
Habari wakuu, Mimi ni kijana mjasiriamali natengeneza viatu vYa kimasai vYa kiume na vYa kike vYa shanga na visivyo na shanga , uzalishaji kwangu ni PC 200 hadi 300 kwa siku hivyo ninahitaji wanunuzi wa jumla kutoka ndani na nje ya nchi maana uzalishaji wangu ni mkubwa na naweza pia kuzalisha zaidi ya hapo kulingana na mahitaji, ninapatikana dar es salaam
Unapatikana dar maeneo gan na pia unauzaje kwa wanunuzi wa jumla?
 
Ni pm number yako yenye whatsapp

Habari wakuu, Mimi ni kijana mjasiriamali natengeneza viatu vYa kimasai vYa kiume na vYa kike vYa shanga na visivyo na shanga , uzalishaji kwangu ni PC 200 hadi 300 kwa siku hivyo ninahitaji wanunuzi wa jumla kutoka ndani na nje ya nchi maana uzalishaji wangu ni mkubwa na naweza pia kuzalisha zaidi ya hapo kulingana na mahitaji, ninapatikana dar es salaam
 
VYa kiume bei ni 8500 tu , ukichukua nyingi zaidi nakufanyia elfu 8000 karibuni wadau.
 
Tandika sokoni wanauza jumla 7000 tena vynye shanga wapo mitaa ya karibu na kwa wahaya
Bei inaendana na ubora , hivyo ni vYa kike tens ubora wake ni mdogo , Mimi Kazi zangu ni quality angalia sample zangu hapo juu halafu linganisha na ulizoona tandika bei inategemea na quality, hats ukinipa oda kwa 7000 nakutengenezea ila vitakuwa tofauti na vYa 8500 upo hapo.
 
Asante mkuu pamoja sana, na nimeshapata wateja kwa hii post nimeweka Jana usiku tu lakini nishapata wateja wanane.
All the best uwe unaweka jinsi unavyozidi kuwa na design zingine usiishie hapo tu toa aina tofauti tofauti uwe wa kipekee
Biashara ubunifu
 
Kuna ujinga mmoja hivi MTU akijitokeza na biashara yake unakuta jitu linakurupuka hata linapotoka halijurikani kutaka kuleta ubishano wa kishamba,vitu vingine ukisoma unapita tuu sio mpka uchangie upuuuzi.
Hivi ukae ilala upande gari mpka tandika kwa pair moja ya 7000????
 
Brother mm number zangu hizo 0715378899 nitumie whatsp pair mbili za kike na kiume nipo kariakoo hapa nikirud home nitamuonyesha mchuchu kama akipenda nitakucheki
 
Back
Top Bottom