FURSA: Msaidizi(Mdada) wa kazi za Nyumbani anahitajika

Hivi nyie mnaodharau 70.000/= mna maisha gani wenzetu?
.
.
Hii si pesa kidogo ukizingatia anapatiwa mahitaji mengine ambayo yanazidi maradufu huo mshahara kwa mwezi hata kile kima cha chini kinachopendekezwa na serikali....!!
Ni mtu mwenye uelewa kiduchu anaweza kuropoka asiyojua tu mkuu! Usishangae ndiyo raia tulio nao nchini ambao ata hawawezi kufanya projection yeyote ya uchumi.
 
Tengeneza na wewe ajira moja ya kumlipa ata elfu 20000 ulete hapa tuone..!

Unashauriwa unaleta ugangwe.. wewe haufai hata kusaidiwa kupatiwa unayemtafuta..

Mimi nina ajili kama kawa.. na msichana wa kazi hizo pesa unamuonea.. kwa maneno yako ya ugangwe.. utakomeshwa one day.
 
Nenda kijijini kwenu ulipozaliwa ukatafute wasichana ukimpata tapeli utamlaumu nani? Akikufanyia kitu kibaya utashtaki wapi??... Nenda katafute mwenyewe ujue chimbuko lake angalao kidogo hata mazingira aliyokulia uyajue nyie ndiyo unaoletewa majini kwenye nyumba.... Matatizo ndani hayaishi lkn hamjui tatizo ni nini?
 
Unalia utafikiri unaandika maigizo
Lea sasa wewe hao wanao afu nn hatima yake house girl hapo baadae atapata mafao? Akistaafu?
Wazazi wetu wametulea sisi watoto wetu tunataka tulelewee tu huna ata wadogo zako au ndg Wa mkeo?
Maneno ya kike (mwanamke wa kizaramo) yanayotoka kwenye kinywa cha mvulana.
 
Unalia utafikiri unaandika maigizo
Lea sasa wewe hao wanao afu nn hatima yake house girl hapo baadae atapata mafao? Akistaafu?
Wazazi wetu wametulea sisi watoto wetu tunataka tulelewee tu huna ata wadogo zako au ndg Wa mkeo?
Acha ujinga wewe, alipwe kiinua mgongo kwani analipa kodi??? Mfikirie siyo unalopoka nyau wewe, imagine nimlipe laki tatu akapange chumba 50000, nauli labda 60000, akale anapojua chai 1000×30=30000, chakula 1500×2×30=90000, alipe umeme 10000, maji 10000, mhesabie vitu vidogovidogo kama anunue sabuni, mafuta ya kujipaka pedi na tataka zingine plus mavazi uone atabakia na kias gani??
 
Unashauriwa unaleta ugangwe.. wewe haufai hata kusaidiwa kupatiwa unayemtafuta..

Mimi nina ajili kama kawa.. na msichana wa kazi hizo pesa unamuonea.. kwa maneno yako ya ugangwe.. utakomeshwa one day.
Ebu funga hilo domo, mnachefua sana ngurumbili kama wewe! Huna ata knowledge yeyote ya uchumi usikute ni mpuuzi fulani unayekula kwa udhamini wa expansion joint(papuchi)
 
Nenda kijijini kwenu ulipozaliwa ukatafute wasichana ukimpata tapeli utamlaumu nani? Akikufanyia kitu kibaya utashtaki wapi??... Nenda katafute mwenyewe ujue chimbuko lake angalao kidogo hata mazingira aliyokulia uyajue nyie ndiyo unaoletewa majini kwenye nyumba.... Matatizo ndani hayaishi lkn hamjui tatizo ni nini?
Not such easy thing mkuu..! It's too technical hapa mpaka akubaliwe kazi kuna some verifications zinafanyika.
 
Ebu funga hilo domo, mnachefua sana ngurumbili kama wewe! Huna ata knowledge yeyote ya uchumi usikute ni mpuuzi fulani unayekula kwa udhamini wa expansion joint(papuchi)

Hayo maneno yako machafu ndio maana upo ulivyo.. narudia tena na utajutishwa. Hayo ya papu lazima umekua ukiyaona hadi uishie nae anatenda ndio maana unatafuta msaidizi wa kumtesa na roho mbaya yako..
 
Sina low IQ kama unavyodhani, najua kila hitaji la mdada/mtoto wa kike hivyo huduma anazopewa huwezi kujidai unafua dafu kuelewa what girl's needs kwa maisha ya kawaida hasa mtu low IQ kama wewe!

Nilivyo hivi ndivyo nilivyosijawahi juta, tena funga domokaya lako! Sitakagi ujinga na pussy kama nyie.
 
Kama upo serious na mdada wa kazi na utamlipa elfu 70 nicheki huku Dom wapo ila uwe mkweli nitakusaidia 0712877148
 
Sina low IQ kama unavyodhani, najua kila hitaji la mdada/mtoto wa kike hivyo huduma anazopewa huwezi kujidai unafua dafu kuelewa what girl's needs kwa maisha ya kawaida hasa mtu low IQ kama wewe!

Nilivyo hivi ndivyo nilivyosijawahi juta, tena funga domokaya lako! Sitakagi ujinga na pussy kama nyie.

Mbona upo bizi kuandika maneno machafu kila ukininukuu..
Inakusaidaje zaidi ya kuonyesha shida zako maishani mwako?
Wewe ni muonevu.. na ungekuwa hauna IQ ndogo ungeelewa ulichoandikiwa.. eeeeeeh
Kaa ulie mwenyewe na yako.. pita kushoto.. CIAO
 
Unaboa ujue! Ushauri wa bure tafuta watu wa saizi yako nyang'au wewe..!
 
Acha ujinga wewe, alipwe kiinua mgongo kwani analipa kodi??? Mfikirie siyo unalopoka nyau wewe, imagine nimlipe laki tatu akapange chumba 50000, nauli labda 60000, akale anapojua chai 1000×30=30000, chakula 1500×2×30=90000, alipe umeme 10000, maji 10000, mhesabie vitu vidogovidogo kama anunue sabuni, mafuta ya kujipaka pedi na tataka zingine plus mavazi uone atabakia na kias gani??
Nakuona tu upuuz wako ukiweka mtandaoni eti kaweka garama nyingi kweli kutetea uongo .. .tumia akili usitumie nguvu
Umuajiri ww akalale kwngne kesho aje kukuamsha cjui gongongooo nmekuja kumpikia mwanao kweli? Apike chakula akale hotelin kweli? Ndio maana yanawaua baadhi ya mabinti
Kula kulala kunywa wajibu wako km ulkuwa hujui
Umekaa kuandka et kula bure fumbafu Sana....usikurupke
 
Hahahaaaaa humu sote watu wazma na wenye uelewa kwani ukisema "natafuta mke Wa kuoa nani atashindwa kukuelewa? Et awe na umri kuanzia 18 kaa householder au House girl??."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom