Fursa kwa mwalimu wa Bagamoyo

Fursa kwa mwalimu wa Bagamoyo

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
1,073
Reaction score
1,576
Habarini wajasiriamali.

Niende Kwenye mada Kabisa.

Mimi ni mwalimu kijana Mdogo,
Na ni Mchanga Katika kazi ambaye sijatimiza Hata mwaka Mmoja kazini hapa Bagamoyo.

Pamoja na majukumu na changamoto za maisha,
Nimejaribu kusave karibia 2Mil. Hivi ambayo nataka niivest Kwenye Biashara.

Ila bado sijaplani ni Biashara gani kutokana na kutokuwa na uzoefu wa kutosha wa Mazingira.

Hivyo naomba nipate mawazo yenu wakuu Kabla Shida kubwakubwa hazijapiga hodi.

Nawasilisha.
 
Kama una zaidi ya mwaka mmoja hapo nina imani utakua umeona baadhi ya changamoto katika eneo hilo unaloishi,basi jaribu kutumia changamoto hizo kama fursa.
 
HATA NUSU MWAKA SIJAMALIZA.
 
Habarini wajasiriamali.

Niende Kwenye mada Kabisa.

Mimi ni mwalimu kijana Mdogo,
Na ni Mchanga Katika kazi ambaye sijatimiza Hata mwaka Mmoja kazini hapa Bagamoyo.

Pamoja na majukumu na changamoto za maisha,
Nimejaribu kusave karibia 2Mil. Hivi ambayo nataka niivest Kwenye Biashara.

Ila bado sijaplani ni Biashara gani kutokana na kutokuwa na uzoefu wa kutosha wa Mazingira.

Hivyo naomba nipate mawazo yenu wakuu Kabla Shida kubwakubwa hazijapiga hodi.

Nawasilisha.

Sikiliza hiki kipindi kilichorushwa hewani na Channel 10 na Rifaro Africa Ltd kuelezea biashara yao ya mda wa maongezi na jinsi ambavyo unaweza kutengeneza mamilioni ya pesa kila mwezi kwa mtaji mdogo tu wa TZS 128,500

Kwa nini utumie mda wako wa maongezi kihasara hasara?
 
Back
Top Bottom