Fursa kwa jiji la Dar es Salaam kuingiza kipato kwa utalii

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
2,606
3,399
Kwa muda mrefu sasa historia imekaa kufunikwa funikwa, aidha ama kwa kupuuzia au kutokuwa na ufahamu wa kina kuhusu habari hizi ndio ikapelekea kutokuwepo kwa msukumo.

Awamu ya Tano chini ya Mh Dr John Magufuli imetilia sana mkazo na kusema kwa maneno na vitendo kuhusu utalii.

Hii imeendana na juhudi kwanza mbalimbali mfano ikiwemo kununua ndege na kuzipandisha hadhi hifadhi.

Kwanini mfano pale wizara ya nishati na madini kuna jenereta la toka mkoloni ambalo ndilo lilikua linazalisha umeme kwa jiji la Dar es Salaam lisiwekwe kivizuri likawa linaingiza mapato ya utalii kwa jiji ikishiriakiana na makumbusho ya taifa?

Historia inapotea katika jiji la Dar es Salaam wapo watalii wanapenda kuuangalia miji na inavyokua.

Jenereta hilo ni kama limetelekezwa halina maelezo, badala lingewekwa kuwa fursa ya utalii limekaa tu.

Picha chini Dar es Salaam, 1947

St Peters Church 1957

IMG_20210303_142557_9.jpg
JPEG_20210303_143851_5406948977195026322.jpg
 
Back
Top Bottom