Singidan
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 878
- 945
Habari wanajf.
Nimebuni wazo la kuanzisha Hub ya innovations. Hivyo natafuta vijana 9 walio serious tuunganishe nguvu ili tuwe na hub yenye nguvu ambayo itakuwa inakusanya na kuendeleza ubunifu wa mawazo kutatua changomoto kupitia teknojia mbalimbali (IT). Kigezo uwe na wazo lenye ubunifu au project ambapo tutaungansha na kuwa 10 projects katika hub. Hivyo hizo ndzo tutakazo anza nazo. Hub nimeipa jina la ITInnovationshub. Kama upo tayari ni pm kwa email sungitamohd@gmail.com