Mkombalwiku Orijino
Senior Member
- May 24, 2020
- 101
- 33
- Thread starter
-
- #21
Sisi tunasimamia mashamba ambayo ni yako na unamiliki mwenyewe na utakuwa unaangalia kila hatua inayoendelea na kama hauna mashamba basi tutakisaidia kupata mashamba ya kukodi au kununua. Wasiliana nasi 0621133117Naomba iwe kweli make MR.KUKU alichotufanyia.
Nitaamini hili endapo utakili hapa kwenye uzi ya kwamba malipo yote yatalipwa baada ya shamba kuvunwa. ili ukishindwa kufikisha gunia 30 kwa hekari basi haupaswi kulipwa kiasi chote mlichokubaliana.Sisi tunasimamia mashamba ambayo ni yako na unamiliki mwenyewe na utakuwa unaangalia kila hatua inayoendelea na kama hauna mashamba basi tutakisaidia kupata mashamba ya kukodi au kununua. Wasiliana nasi 0621133117
Tatizo lao mitaji kivipi wakati kasema kampuni inawatalaamu wa kutosha? Kama wameweza kufungua kampuni basi maanake wanauwezo wa kulima hata eka tano tu kwa kuanzia na kupata magunia sio chini ya 150 ya mahindi kwa hesabu alizotupa. Hivyo angeweza kuongeza mtaji baada ya kuuza hayo magunia ya mahindi.Nadhani tatizo lao ni mtaji.
Mkuu hii ni huduma kama ilivyo huduma ya uwakili, tatizo sio sisi kukosa mtaji hapanaTatizo lao mitaji kivipi wakati kasema kampuni inawatalaamu wa kutosha? Kama wameweza kufungua kampuni basi maanake wanauwezo wa kulima hata eka tano tu kwa kuanzia na kupata magunia sio chini ya 150 ya mahindi kwa hesabu alizotupa. Hivyo angeweza kuongeza mtaji baada ya kuuza hayo magunia ya mahindi.
Nadhani kuna sehemu bado hujaielewa huduma yetu, kwamba nilime kwa kutumia gharama zangu halafu ww nikukabidhi mavuno hapo ww utakuwa umenipa mm kazi yako ambayo kimsingi ulitakiwa ww uifanye umekosa muda au unataka matokeo mazuri zaidi. Unaenda kwa wakili unamwambia asimamie kesi yako utamwambia atumie gharama zake ili akishindwa ww usimlipe?Nitaamini hili endapo utakili hapa kwenye uzi ya kwamba malipo yote yatalipwa baada ya shamba kuvunwa. ili ukishindwa kufikisha gunia 30 kwa hekari basi haupaswi kulipwa kiasi chote mlichokubaliana.
2. Umesema gharama nafuu, embu weka hapa hiyo gharama ili tuone unafuu wake
3. Nitaamini hili endapo vifaa, malighafi na vitu vingine vyote mfano mbolea na madawa atanunua mwenyewe mteja (muhusika wa shamba) pasipo kuwakabidhi ela kwa namna yoyote ile. Na wakati wa kuweka hivyo vitu shambani, mteja mwenyewe (muhusika wa shamba anakuwepo)
Itakuwa wameamua kutoa msaada kwa wananchi wanyonge [emoji2]Yale yale,
Nyinyi mnafahamu pa kupata mashamba ya mahindi,
Nyinyi mna utaalamu wa kulima Mahindi mpaka mtu apate gunia 30,
Sasa si mlime tu wenyewe mpate hayo magunia 30+ kwa kila heka?
Waanze mdogo mdogo kama inalipa kihivyoNadhani tatizo lao ni mtaji.
Wananchi wanyonge na wasio wanyongeItakuwa wameamua kutoa msaada kwa wananchi wanyonge [emoji2]
Hii ni huduma kwa wale wanaolima, sio kwamba sisi tunatafuta mtaji ili tukalime hapanaWaanze mdogo mdogo kama inalipa kihivyo
Kwenye uwakili kuna kushindwa kesiMkuu hii ni huduma kama ilivyo huduma ya uwakili, tatizo sio sisi kukosa mtaji hapana
Hiyo sio huduma bali ni biashara kama biashara nyingine, unataka kusema hampati faida?Hii ni huduma kwa wale wanaolima, sio kwamba sisi tunatafuta mtaji ili tukalime hapana
Huduma haimaanishi ni bure, tunapata faida ndo maana tunaifanya. Unapotaja shughuli za kitaaluma mara nyingi hujulikana kama huduma. Mfano; huduma ya afya, elimu nk zote hizo zina faida.Hiyo sio huduma bali ni biashara kama biashara nyingine, unataka kusema hampati faida?
Ni kweli kabisa lakini ukishindwa kesi Wakili halipwi?Kwenye uwakili kuna kushindwa kesi
Kila la kheri mpate wateja wengiHuduma haimaanishi ni bure, tunapata faida ndo maana tunaifanya. Unapotaja shughuli za kitaaluma mara nyingi hujulikana kama huduma. Mfano; huduma ya afya, elimu nk zote hizo zina faida.
Napenda hoja zako maana zinalenga kujua zaidi, nami nipo kukufafanuliaKwenye uwakili kuna kushindwa kesi
Ahsante sanaKila la kheri mpate wateja wengi
Yaani nitoe pesa nipate hasara halafu nikulipe? Haiingii akilini, huwezi fananisha uwakili na biashara yenu...havifanani.Ni kweli kabisa lakini ukishindwa kesi Wakili halipwi?
Sidhani kama nitaelewa, tuishie hapaNapenda hoja zako maana zinalenga kujua zaidi, nami nipo kukufafanulia
Huo muda wa kulimia watu kwa pesa zao si wangekodisha mashamba wakalima kwa ajili yao.Yaani nitoe pesa nipate hasara halafu nikulipe? Haiingii akilini, huwezi fananisha uwakili na biashara yenu...havifanani.
.
.
Walimieni watu kwa pesa zenu,mkishavuna ndo mchukue faida yenu hapo, otherwise ni utapeli.
Wanadai eti wanatoa hudumaHuo muda wa kulimia watu kwa pesa zao si wangekodisha mashamba wakalima kwa ajili yao.