Mkombalwiku Orijino
Senior Member
- May 24, 2020
- 101
- 33
Wameandika Songea au hujasomaHayo mashamba ya 60 ni mkoa gan
Yale yale,Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.
Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa.
Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.
Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117View attachment 1586701
Yale yale,
Nyinyi mnafahamu pa kupata mashamba ya mahindi,
Nyinyi mna utaalamu wa kulima Mahindi mpaka mtu apate gunia 30,
Sasa si mlime tu wenyewe mpate hayo magunia 30+ kwa kila heka?
Yapo Songea karibu sana piga 0621133117Hayo mashamba ya 60 ni mkoa gan
Sisi sio wababaishaji njoo ofisini kwetu tuna huduma nyingi sana kwa wakulimaNaomba iwe kweli make MR.KUKU alichotufanyia.
Piga 0621133117Ndio mkuu ila naomba kama una uelewa au ufafanuzi zaidi kuhusu hayo mashamba unijulishe
Nipe namba yako ndugu au nipigie kwa 0621133117Nina hekari karibia 100 Kitai na naomba nijulishe process zote na gharama zote kwa ujumla zipoje hasaa??ningependa sana nikifahamu kuhusu hili swala maana muhimu sana kwangu tafadhali na upande wa maandikiano unakuwaje hasa?
Sisi tunatoa huduma kwa wenye interest na kilimo, hii ni sawa na uwakili ndugu yaani una kesi mahakamani unamtuma Wakili aisimamie ili ushinde..na kwetu unahitaji kupata mavuno mengi unatupa kazi yako wataalamu wa kilimo tunaisimamiaNadhani tatizo lao ni mtaji.
Mimi sio mpigaji hili ni tangazo ambalo huwezi kuweka maelezo marefu sana kama mtu amesoma anataka ufafanuzi zaidi anafika ofisini kwetu au anatupigia 0621133117 karibu tukuhudumieBado hujaeleweka ...uzi wako umekaa kiupigaji sana.
Fahamu kuna watu wanafanya kilimo kila mwaka na hawafikii mavuno ya tija kutokana na sababu kama kukosa kanuni za kilimo bora au usimamizi mbaya. Sisi tunakuja kutatua changamoto hiyo kwa wakulima ili maarifa tuliyonayo na elimu yetu itumike kunufaisha jamii yetu. Karibu ofisini kwetu au tupigie 0621133117Yale yale,
Nyinyi mnafahamu pa kupata mashamba ya mahindi,
Nyinyi mna utaalamu wa kulima Mahindi mpaka mtu apate gunia 30,
Sasa si mlime tu wenyewe mpate hayo magunia 30+ kwa kila heka?