Fursa: Germany wanahitaji Migrants labour kutoka nchi mbalimbali

kama kiwanda cha tumbaku tu kinaweza kikawa na wafanyakazi 3000. Kumbe kukiwa na kama hivyo vitatu tu tunaweza punguza ongeza 6000.

Tumbaku inapigwa vita dunia nzima kwa vile inasababisha saratani. Saratani ya mapafu inaongoza duniani kwa kuua watu kati ya saratani zote. Fuatilia mambo ya dunia ambayo hayapo TBC
 
Ukweli kwenda kuishi au kufanya kazi ulaya sio mchezo hata kidogo vijana msio na mtaji wa nauli na health assurance hutaweza weza kufika ulaya mpaka ufe
Passport 150000
Visa 60€
Nauli1400$ go and return
Healthcare €30000
Living cost€48
Bank statements
Reasonable reasons for u to go in Europe
Na kama hujawah kusafiri kwenda nchi yeyete ndan ya EU sahau kupata viza
NB ,: unaweza ukawa na kula kitu ila wakakunyima visa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli kwenda kuishi au kufanya kazi ulaya sio mchezo hata kidogo vijana msio na mtaji wa nauli na health assurance hutaweza weza kufika ulaya mpaka ufe
Passport 150000
Visa 60€
Nauli1400$ go and return
Healthcare €30000
Living cost€48
Bank statements
Reasonable reasons for u to go in Europe
Na kama hujawah kusafiri kwenda nchi yeyete ndan ya EU sahau kupata viza
NB ,: unaweza ukawa na kula kitu ila wakakunyima visa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo insurance mbona siyo pesa uliyoandika hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuta taarifa hii inaelekea ukingoni katika kituo cha habari cha Germany "DW"

Mukhtasari ni kwamba nchi ya Germany inahitaji zaidi Wafanyakazi 200,000 kutoka nchi mbalimbali kutokana na wanachokiita "Labour Shortage due to Democraphic decline"

Wanapokea wafanyakazi kutoka EU lakini kwa mwaka huu bunge la Germany linasema hakuna dalili za wafanyakazi kutoka EU kutosheleza.

Changamka!

View attachment 1020493
Ukitaka uludi enzi za utumwa nenda kafanye hizo kazi,nibora kuludi kijijini msaka nyoka kulima kuliko kwenda huko ujerumani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuongezea tu nchi karibia zote zilizoendelea wanakabiliana na changamoto ya kukosa wafanyakazi hususani nchi kama Canada, Japan, Norway, Uswizi nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Actually wafanyakazi wapo ila cheap labour ndio wanaohitajika maana wazungu kazi za kijinga hawafanyi. Ni kwa ajili ya blacks hizo, kufagia mabarafu kuchambisha vibibi na ishu za viwandani ama constructions.
 
Back
Top Bottom