Fursa: Germany wanahitaji Migrants labour kutoka nchi mbalimbali

Benny

JF-Expert Member
Jun 6, 2014
3,258
2,000
Nimekuta taarifa hii inaelekea ukingoni katika kituo cha habari cha Germany "DW"

Mukhtasari ni kwamba nchi ya Germany inahitaji zaidi Wafanyakazi 200,000 kutoka nchi mbalimbali kutokana na wanachokiita "Labour Shortage due to Democraphic decline"

Wanapokea wafanyakazi kutoka EU lakini kwa mwaka huu bunge la Germany linasema hakuna dalili za wafanyakazi kutoka EU kutosheleza.

Changamka!

ImageUploadedByJamiiForums1549960204.628591.jpg
 
concordile 101

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
1,222
2,000
Hivi inakuwaje nchi yenye wengi kiasi hicho na kila siku watu wanakimbilia huko wakose wafanyakazi. Kuna siku nilisoma kuwa wana uhaba wa madereva wa magari makubwa mpk nikashangaa inakuwaje. Kwa maana hiyo hata sisi tukiwa serious tunaweza futa kabisa tatizo la ajira.
kwa mfano bado hatuna ngano ya kutosha
Mafuta ya kutosha
Chakula cha kutosha
Vyuo vya kutosha
shule za kutosha
Tuna shortage ya nyumba kiwango kikubwa mno.
Mfano wa mdogo kama kiwanda cha tumbaku tu kinaweza kikawa na wafanyakazi 3000. Kumbe kukiwa na kama hivyo vitatu tu tunaweza punguza ongeza 6000.
Kumbe tukiwa na viwanda vya marumaru kama vinne vikubwa tunaweza punguza labour shortage kwa kiwango kikubwa sana.
Kumbe kukiwa na free pass ya raia kutoka nchi nyingine za africa kuja fanya manunuzi tunaweza jitengenezea soko kubwa sana.
Mungu atupe nini mtu anakubali kuhongwa milion 500 ili mfano tu azuie ujenzi wa hospitali flan kumbe angeweza ruhusu, angejenga hospitali au hostel na kwa mwaka akaingiza mara kumi ya kile kiwango
 
Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
726
1,000
Nchi zilizoendelea zimeathiriwa na mpango uzazi sasa hawana vijana nguvu kazi wa kutosha na wenye elimu pia. Japo sio rahisi maisha ya huko mkibahatika kwenda mkumbuke kuzaa sana na kujenga Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kunguru2016

JF-Expert Member
Aug 4, 2016
292
250
Hivi wakati mwingine watu wakitulia huwa wanakuwa na mawazo mazuri sana !safi sana jenga kwako kwanza baadae kwa wengine
Hivi inakuwaje nchi yenye wengi kiasi hicho na kila siku watu wanakimbilia huko wakose wafanyakazi. Kuna siku nilisoma kuwa wana uhaba wa madereva wa magari makubwa mpk nikashangaa inakuwaje. Kwa maana hiyo hata sisi tukiwa serious tunaweza futa kabisa tatizo la ajira.
kwa mfano bado hatuna ngano ya kutosha
Mafuta ya kutosha
Chakula cha kutosha
Vyuo vya kutosha
shule za kutosha
Tuna shortage ya nyumba kiwango kikubwa mno.
Mfano wa mdogo kama kiwanda cha tumbaku tu kinaweza kikawa na wafanyakazi 3000. Kumbe kukiwa na kama hivyo vitatu tu tunaweza punguza ongeza 6000.
Kumbe tukiwa na viwanda vya marumaru kama vinne vikubwa tunaweza punguza labour shortage kwa kiwango kikubwa sana.
Kumbe kukiwa na free pass ya raia kutoka nchi nyingine za africa kuja fanya manunuzi tunaweza jitengenezea soko kubwa sana.
Mungu atupe nini mtu anakubali kuhongwa milion 500 ili mfano tu azuie ujenzi wa hospitali flan kumbe angeweza ruhusu, angejenga hospitali au hostel na kwa mwaka akaingiza mara kumi ya kile kiwango
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prisoner of hope

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
2,438
2,000
Safi sana. Naona umewaza mbali sana mkuu....

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom