FURSA FURSA YA AFYA NA UJASIRIAMALI

FURSA FURSA YA AFYA NA UJASIRIAMALI

tarmo deuxon

New Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
3
Reaction score
1
Hey habari za mda huu. Karibu katika fursa ya ujasriamal na afya ambapo utaweza kutengeneza hadi 60000 had 360000 Tsh kwa siku. Hii ni kwa wote waliopo katika mikoa yote ya tanzaniaa
OFICI ZETU KILA MKOA TANZANIA
FURSA INAHITAJI WATU WOTE BILA KUJALI KIWANGO CHA ELIMU.
N.B tunahitaji watu watakao kuwa tayar kufanya kazi na. Weny kujitoaa
Call +255654233617

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofici = office
Ungeeleza majukumu wanayotakiwa kufanya watu wangekuja mbio kuliko kuwaacha na maswali mengi..
Hata kama ni kutembeza hizo dawa
 
Mama yanguu!, naona kabisa mtu anaenda kupigwa hapa

hiyo ni laki tatu na sitini kwa siku, yaani hata GGM kule Geita hawatoi mshahara kama huo

360,000 × 30 = milioni karibu kumi kwa mwezi
 
Naona dalili za kwenda kubalance BV kulia na kushoto upate $......... #Nyumbani kumenoga jamani msiende huko
 
Mama yanguu!, naona kabisa mtu anaenda kupigwa hapa

hiyo ni laki tatu na sitini kwa siku, yaani hata GGM kule Geita hawatoi mshahara kama huo

360,000 × 30 = milioni karibu kumi kwa mwezi

Woga wako ndo umaskin wako ndgu, watu wanatengeneza milion 50 per night in network marketing
Zama zimebadilika ndgu
 
Woga wako ndo umaskin wako ndgu, watu wanatengeneza milion 50 per night in network marketing
Zama zimebadilika ndgu
Charity begins at home.Anza na wanafamilia na wanaukoo wako..Hebu imagine kila mtu kwenye ukoo akiwa anamake 360k kwa siku si mtakua mbali sana

Tena kwa sababu wewe ndio founder ukoo mzima utakuheshimu sana na utakua mfano wa kuigwa..Wape kwanza hao wengine shavu

Ukisikia unaitwa kwenye fursa, basi tambua wewe ndio fursa
 
Emu tuthibitishie kwanza mafanikio yako mpaka ndo tukuelewe, otherwise ni upuuzi tu wa Kiafrica
 
Kabla hujakurupuka kuquote hebu tulia soma na elewa nani unamquote na kwanini
Emu tuthibitishie kwanza mafanikio yako mpaka ndo tukuelewe, otherwise ni upuuzi tu wa Kiafrica
 
Back
Top Bottom