Fursa Fursa ktk mkoa wa njombe

Fursa Fursa ktk mkoa wa njombe

Joined
Oct 18, 2016
Posts
28
Reaction score
4
Pata mashamba ya Kupanda miti ya mbao Yanauzwa kwa bei ya laki moja tu Kwa heka,
Pata mashamba ambayo yameshapandwa miti ikiwa pamoja na ardhi
Kwa mawasiliano zaidi npigie 0764426929,0655726929 na whatsap
Badilisha maisha yako kwa kilimo cha miti ya mbao
 
Mkuu shamba ambalo tayari lina miti linauzwa bei gani?
Miti ya umri gani? Inategemea Lina miti ya umri gani, mahali lilipo na Ukubwa wa shamba
Kwa mfano ninazo hekali mia moja zenye miti yenye mwaka mmoja bei ya kila heka ni tsh laki mbili na nusu
 
Back
Top Bottom