Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,907
- 6,700
Vijana changamkieni fursa hii
Hiyo fursa changamkia we mwenyewe.Vijana changamkieni fursa hiiView attachment 1677540
ahaha, sawa mkuu huenda wengine wakachangamkia kimya kimyaHiyo fursa changamkia we mwenyewe.
Hao bodi wajiangalie watarogwa woteVijana changamkieni fursa hiiView attachment 1677540
Tanzania ipo vizuri mno ndo maana imepata nafasi ya kupeleka wataalamu wake KenyaTanzania
Pia inaenda kufundisha?
Lazima, mshana Jr, mzizi mkavu , Rakims
Watakua ni waalimu hiyo chuo