Only her for ever
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 243
- 340
- Thread starter
- #21
Kila mafanikio yanaanz na kuthubutuKulizwa kunaanzia hapa[emoji849]
Kila mafanikio yanaanz na kuthubutuKulizwa kunaanzia hapa[emoji849]
Mkuu kwanza kabisa genuine site haiwezi kujiita twitterfollow hilo neno twitter tu linatia shaka.Everything is open now, jaribu kusearch uu mchongo kwenye social mbalimbali kila kitu kipo wazi.
Kuna option mbili ili uanze kulipwaMkuu kwanza kabisa genuine site haiwezi kujiita twitterfollow hilo neno twitter tu linatia shaka.
Pili iko hosted kwenye server ambazo zina sifa ya kuhost suspicious site
Tatu ina run on top another site ikiwa ina maana unaweza kuwa unafanya kitu kumbe china kimafanyika site nyingine.
Nne, imefunguliwa haina miezi kibao hivyo hata ni ngumu kuiamini.
Na tano, hakuna biashara yoyote genuine eti ili ulipwe kwa kazi unayofanya lazima kwanza ulipie, red flag.
Sawa pambana mkuu ila mwisho wa siku utakuja kusikitika kwa muda uliopotezaKuna option mbili ili uanze kulipwa
1, kuinvite 2, deposit
Is up on you