Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,742
Mambo ya Bukoba haya. Katika vyumba vya nyumba nyingi za wageni nilizoingia kama sio kukuta godoro limefunikwa na Plastic cover, basi nilikuta chini kuna mkeke kama unavyonekana hapo pichani. Nikaambiwa ndizi huongeza maji mwilini ambayo yakipigwa humwagika. So ilikutokuchafua kitanda ama godoro kuwekwa plastic cover au mkeka huwekwa chini ili kama ukitaka kuyamwaga mwageni mkekani. Ama kweli BUKOBA RAHA.