IshaLubuva
JF-Expert Member
- Dec 4, 2008
- 250
- 11
Kocha wa Man. United alitetea goli la timu yake dhidi ya Totenhum lililofungwa na Nani katika mazingira ya kutatanisha. Habari kamili iko hapo kwenye link
Sir Alex Ferguson: Heurelho Gomes to blame for bizarre Nani goal - Barclays Premier League - ESPN Soccernet
Mimi najiuliza fair play iko wapi kwa kocha huyu kutetea goli la aina hiyo?