Pep Guardiola asema kamwe hawezi kuifundisha Manchester United

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
Kocha huyo wa Manchester City amesema kuwa ni bora aende likizo ya kufundisha mpira kuliko kukubali kuifundisha Manchester United

> Guardiola alikuwa kwenye rada ya Manchester United kwa ajili ya kurithi mikoba ya Sir. Alex Ferguson lakini aliamua kujiunga na Bayern Munich

> Ameongeza kuwa kama hatapata ofa ya kufundisha timu basi ni bora aende kuwa Mwalimu wa Mpira huko Maldives. Amesema kuwa hawezi pia kufundisha Klabu ya Real Madrid

====
Manchester City manager Pep Guardiola says he would never manage Manchester United and would prefer to go on holiday than take over at Old Trafford.

Guardiola was on United's radar to replace Sir Alex Ferguson but had already agreed to join Bayern Munich when the Scot retired in 2013.

The Spaniard said his status at City means he would not join United even if it was the only offer he had.

"If I didn't have any offers, I would be in the Maldives," he said.

"Maybe not the Maldives because it doesn't have any golf courses but after training City, I won't train United, just like I would never train Madrid," said Guardiola, speaking before his side's trip to Old Trafford in the Carabao Cup semi-final on Tuesday.

"Definitely not."

Sir Alex Ferguson and Pep Guardiola

Guardiola's Barcelona beat Manchester United in two Champions League finals
Ferguson famously met Guardiola for dinner in New York in 2012.​

At the time, the former Barcelona coach was on his sabbatical year and Ferguson was still to decide he would end his own illustrious career just months later. Ferguson asked to be kept abreast of Guardiola's plans but the return call never came.

United went on to win the Premier League but have not come close to winning another, whereas Guardiola has two titles - to add to the three Bundesliga crowns he won at Bayern Munich.

The 48-year-old has won 20 major honours, all with the distinctive tactics he learned from legendary Dutchman Johan Cruyff when he was a player at Barcelona.

It is for that reason former England skipper Gary Lineker recently said on Twitter that Guardiola has "changed the way we play/think about the game" and has had "arguably the most positive influence of anyone, ever on our game".

United boss Ole Gunnar Solskjaer understands the sentiment but, for the Norwegian, Ferguson remains peerless.

"I admire Pep's teams," he said. "He is one of the best managers ever and you can see where he has taken his wisdom from but I have to say I worked under the most influential one.

"But when you watch City, you have to admire what they are trying to do. They stick true to their values and beliefs."

United on the right track
Ole Gunnar Solskjaer

Marcus Rashford and Anthony Martial scored Manchester United's goals in their win at Manchester City last month​
Remarkably, Guardiola has three wins at Old Trafford from four visits as City boss, yet recorded only one victory from the same number of meetings at the Etihad Stadium.

Guardiola has no answer to the bizarre sequence, which continued last month when United deservedly beat his team 2-1 at the Etihad.

However, he is certain United's current malaise will not continue indefinitely and believes, under Solskjaer, they are starting to develop the style of play he is looking for.

"I have incredible respect for this club," he said.

"In every club's history there are periods when you struggle a bit. But they will be back. Sooner or later they will be in the positions to fight for the Premier League title."

Tactical fouls
The issue of 'tactical fouls' has again been a talking point around a Manchester derby.

Guardiola is adamant he has never instructed any of his players to deliberately foul an opposition player to halt a counter-attack, although his words would have more credence were it not for his former assistant and current Arsenal boss Mikel Arteta telling City's midfield players to do exactly that in the Amazon documentary released about the club earlier this season.

Solskjaer does feel there is an issue.

"Sometimes I look at the referees and look at our games and even if they are just little fouls, there have been teams who have stopped us with them, which has stopped us showing how good we are when we attack," he said.

-BBC Sports-
 
Kwanza pep bado ni kocha Bora wa muda wote suala la yeye kutoifundisha manchester ni zuri kwani mbinu za mpira wa man u bado ni zile za kiingereza yaani pasi tatu halafu pasi ya nne ni goli wakati pep mfumo na mbinu zake ni kila mtu lazima awe na mpira kuanzia kipa mpaka namba tisa kwa hiyo unaona kabisa mfumo unamkataa hata pale Munich bado wajerumani hawataki mfumo wao kwani ujerumani wanaamini kwenye pasi chache na kufunga magoli hivyo pep akitaka aendelee kuwika ,timu mbili hizi asifundishe Madrid na Atletico zote zile mifumo na falsafa zao zinaendana hivyo timu zilizobaki zote kwa pale Hispania anaweza kuwika sana tena hatareee
 
Kwanza pep bado ni kocha Bora wa muda wote suala la yeye kutoifundisha manchester ni zuri kwani mbinu za mpira wa man u bado ni zile za kiingereza yaani pasi tatu halafu pasi ya nne ni goli wakati pep mfumo na mbinu zake ni kila mtu lazima awe na mpira kuanzia kipa mpaka namba tisa kwa hiyo unaona kabisa mfumo unamkataa hata pale Munich bado wajerumani hawataki mfumo wao kwani ujerumani wanaamini kwenye pasi chache na kufunga magoli hivyo pep akitaka aendelee kuwika ,timu mbili hizi asifundishe Madrid na Atletico zote zile mifumo na falsafa zao zinaendana hivyo timu zilizobaki zote kwa pale Hispania anaweza kuwika sana tena hatareee
Kama yeye kocha mzuri afundishe Crystal palace pep inambeba pesa hana lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyie hamna pesa za usajili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakuza vipaji na kuviendeleza,pia tunatumia pesa kidogo kwenye usajili,halafu hata kama usajili wa hela nyingi unafanyika mara moja ndani ya misimu miwili hadi mitatu!pia tunauza kwa bei kubwa na kununua kwa bei nafuu!mf.LIVERPOOL!van dyke,allison na fabinho wamenunuliwa kwa hela ya coutinho mil.142 paundi!!!KIFUPI NI HIVYO!!!
 
Hao makocha wanaosifiwa kuwa ni bora waga ni wazuri tu ktk kuendeleza vipaji.

Wanachagua wachezaji wale wazuri na kuendeleza vipaji vyao. Ni vigumu sana kuchukua wachezaji wasio na vipaji kisha wapate nao matokeo, watashindwa tu na mwisho watatimuliwa.

Hata zile shule zinazotoa matokeo bora kila mwaka wanafanya kazi ya ku-prune wanafunzi toka mfano, form one, two hadi three na wale wanaosalia form four wanakuwa ni "Gifted Students" wanaotoa matokeo bora zaidi na ndipo shule hujisifu kumbe ni hiyo sera ya uchujaji ndio huwabeba. Nothing more.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom