Furahisha macho na hizi nyumba

Furahisha macho na hizi nyumba

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
ImageUploadedByJamiiForums1430940332.977753.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1430940355.604296.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1430940372.056669.jpg
 
Daah..sisi wengine tunawasindikiza kina Chenge tu kwenye maisha..
 
Mimi napeda sana Spanish architectural designs. Hata kwa nyumba za one storey zimetulia sana
 
Unaweza ukaguguli zipo tu. Jamaa wana design nzuri sana na nyingi zinatekelezeka hata kwa sie watu wa kawaida
 
Picha ya kwanza ndio design ya nyumba nazopenda. Modern contemporary. Sifa zake ni pamoja na kuwa straight lines, big windows so as to bring the outside inside, no corridors (I hate corridors sana) e.t.c.
 
Wewe ni msanifu majengo?
 
Hii ninampango wa kuweka shambani kwangu, 2017. Nitakukaribisha bwana Bulldog na familia
contemporary-house-design.jpg
 
contemporary-house-design-rockefeller-partners-architects.jpg
burlingame-residence----.jpg
http://www.dekrisdesign.com/wp-content/uploads/2013/06/Modern-house-design-by-Lubelso-555x369.jpg
Modern_House_WIP_by_diegoreales.jpg
 
Picha ya kwanza ndio design ya nyumba nazopenda. Modern contemporary. Sifa zake ni pamoja na kuwa straight lines, big windows so as to bring the outside inside, no corridors (I hate corridors sana) e.t.c.

U hate corridors too
 
Nafikiri umenipata mkuu Bulldog . Sasa ndani unapiga interior design inaitwa modern minimalistic kama ifwatavyo
images
images
images
images
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri umenipata mkuu Bulldog . Sasa ndani unapiga interior design inaitwa modern minimalistic kama ifwatavyo
images
images
images
images

Nyumba nzuri hizi mkuu. Unahitaji uweke ulinzi wa hali ya juu wasije kukuvamia manake hapa unaingia kilaini sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom