masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,527
- 19,988
kama club vile kumbe wapo hewani
mmmh
mpaka naogopa yaani kuangalia mwenyewe
daah huyu dada nasubiri tu ziwa lichomoke tiiii
ndukiiii
Wengine hatuna tv...
Weka picha, hasa ya hilo ziwa linalotaka kuanguka...
Wengine hatuna tv...
Weka picha, hasa ya hilo ziwa linalotaka kuanguka...
Huyu si Masai bana, chiie! Tabala hii kitu
ndoroboooo wewe
Ukiwekewa picha ya hilo ziwa utapata faida gani?
Usipende kuzoea kula ugali kwa picha ya samaki!!!
Hahahah hujatulia wewe hata sumniiiii... Kah
kwa hali hii ni ngumu kutulia
nasubiri lichomoke nikimbie chumbani
Huyo ndo maasai dada banaa kuamsha hisia ujenge mnara wa hewa ndo kazi alijaaliwa
mkuu naomba mutune on EATV jamani
Mamiii, sema kweli ukimbie kwelii !! sidhan kama utakimbia
Mmh we mwanamke mi sikuelewi! Umekuwa ukitamani wadada...hahaha!