Furahia simu yako hapa

Duu Nakosa Maujanja Yote Haya Kasimu Kangu Nika itel5253 Nadownload Apps Znamutate Kuwa Virus Ngoja Nijipange.
 
Hapana ndugu any android ambayo ni version 4.0 na kuendelea

Mkuu mimi kwny kipengele cha mwisho niki download hiyo app ya kulock inaniambia It can't be open.Tena ni baada ya kumaliza kudownload.Au kwa kuwa nina application nyingine ya ku lock ambayo ni VAULT?
 
bjsgds av &#960;[™[¢®ß®©[<&#8453;©®®&#8453;©®™ x f fzzqz.
 
Mi nimejaribu kuweka ifont naona imekataa kwenye cm yangu, inadai mpaka ni root, natumia htc sensation
 
Mkuu natumias5 tatizo langu liko kwenye setting ya internet natumia voda ilivurugika kurudi imekuwa shida naomba unisaidie kupata settings mpya
 

Mkuu nikijaribu kuintall solo launcher kuna message hii ya setting inakuja naomba unielekeze
 

Attachments

  • 1434186970741.jpg
    25.1 KB · Views: 265
Me napenda kutumia Zero launcher lkn tangu nianze kutumia tecno H6 imekataa kukaa default!! Msaada plz
 
Hizo application mbona zinahitaji access ya vitu vyangu nyeti? hasa kupata rekodi ya simu zangu, meseji, simu, contact, picha na hata kuwa na uwezo wa kutuma.meseji au kupiga simu na hata kufuta meseji. It is more likely to be a spy app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…