qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,382
Nyie si mnazikimbiaga bank kukimbilia hivyo vi microfinance ambovyo asilimia kubwa vinamilikiwa na hao wa kwenye mabank wanawagonga makato makubwa kushinda ya bank.
Wakuu leo hi nayofuraha kusherekea pasaka baada ya bayport kunipa mkopo nafuu ambao utakaotimiza malengo yangu.bypot saf
Huyu jamaa ni Mtumishi mwenzao upande wa Sales. Anaipa promo tu.
Wakuu leo hi nayofuraha kusherekea pasaka baada ya bayport kunipa mkopo nafuu ambao utakaotimiza malengo yangu.bypot saf
M mwenyewe yamenikuta nlikopa 3milion,nliandikiwa den milion 7Tz nzima wanalia na hao bayport
siku hizi kwa wiki kwenye baadhi ya matawi wanaweza kupata hata mteja mmoja!
Kama umekopa miaka mi 3,wanaweza kukuchakachulia wakakuwekea miaka mi6
ukitaka upigwe mawe na mfanyakazi wa serikali,mpe habari za bayport
Taasisi ipi angalau ina makato nafuu?
Ni wangese sana hawa bayport! Jamaa yangu alihitaji mkopo na alijaza taarifa zake zote tangu tarehe 01/04/2014 lakini cha ajabu hadi leo bado hajapata mkopo.
Amejaribu kufuatilia sana lakini wanamzungusha tu na hawamwambii ukweli hadi sasa!
Ushauri tafadhali afanyaje huyu rafiki?
Wakuu leo hi nayofuraha kusherekea pasaka baada ya bayport kunipa mkopo nafuu ambao utakaotimiza malengo yangu.bypot saf
kama unafuatilia bunge, katika "bayport" wazir mkuu alitolea majibu, kwamba hawana nguvu juu yao, ila acheni kukopa kwao.wakaanza kutafuta nyaraka za watu na kuwaingizia fedha kwa riba ya 500%. John tongo kama mnaweza kufaiti kurudisha hizo nyaraka mtaokoka, vinginevyo yatakayotokea rudi hapa tukupe pole..*ni afadhari ya kero za muungano kuliko za bayport*
Mmmmh!Kama unafuatilia bunge, katika "bayport" wazir mkuu alitolea majibu, kwamba hawana nguvu juu yao, ila acheni kukopa kwao.wakaanza kutafuta nyaraka za watu na kuwaingizia fedha kwa riba ya 500%. JOHN TONGO KAMA MNAWEZA KUFAITI KURUDISHA HIZO NYARAKA MTAOKOKA, Vinginevyo yatakayotoa rudi hapa tukupe pole..*NI AFADHARI YA KERO ZA MUUNGANO KULIKO ZA BAYPORT*