born to win
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 561
- 168
Nimejaribu mbona haikubalNdiyo inawezekana.Rudia kusoma toka mwanzo mwa hii thread nimeeleza steps zote.Fuata hizo steps,ukikwama just tell us wapi umekwama ili usaidiwe.
Nimejaribu mbona haikubalNdiyo inawezekana.Rudia kusoma toka mwanzo mwa hii thread nimeeleza steps zote.Fuata hizo steps,ukikwama just tell us wapi umekwama ili usaidiwe.
inawezekana kwa kutumia connectfyJamani wanajamvi najua hii tethering na share internet ya cm kwenda PC. Swali langu ni je kinyume chake inawezekana? Yaani internet ya PC kwenda Cm?
Mkuu hiyo connectfy inakaa kwenye cm au kwenye PC na je kama ni kwenye cm inapatikana play store?inawezekana kwa kutumia connectfy
inakaa kwny pc mkuu,unainstallMkuu hiyo connectfy inakaa kwenye cm au kwenye PC na je kama ni kwenye cm inapatikana play store?
Wivu mbaya sanaI don't disrespect unknown people like you. I think, either your stupidity or your dirt mind made you to think so.
I'm sorry. I meant different from what you understood
Ngoja nijaribu..Je unayo Laptop,Tablet Pc,or Smartphone au vyote? Je unajua ukiwa na smartphone au tablet/Phablet huhitaji tena kununua modem ? Ndiyo,inawezekana.
Leo nitaeleza jinsi unavyoweza kufarahia internet kwenye PC yako,au vifaa vingine tajwa hapo juu bila kutumia modem au waya wowote .
HOW?
It is very simple just follow these steps:
1.Chukua smartphone yako au tablet/phablet then nenda kwenye "settings","Click "More..."
2.Click "Tethering and portable hotspot" then W-ifi -hotspot utaiona sehemu ya kuweka password yako.
3.Weka password yako au tumia iliyopo kwenye kifaa chako.Ukitaka kujua password ya kifaa chako tick/check kwenye kibox chenye maneno haya "Show Password"
4.Weka ON hapo kwenye 'Wifi-hotspot' then ENJOY!
NOTE:-Hapa unaweza kuunganisha devices/users hadi 5 au zaidi just click Wi-FI then ON.
-Kama Unatumia Laptop hakikisha umeinstall Wifi-hotspot kwanza, it's FREE!
Say byee.. to Modems!
ENJOY!
Genius One
Sometimes ni Mzuriiii. Ukiona wivu nawe kajifunzeWivu mbaya sana
Kwa hiyo nini kinakusumbua? Kama ulidhani imepitwa na wakati kwa nini ume-click na ukaisoma? ni nani kakulazimisha uisome? Jifunze kushirikisha akili yako kabla ya ku-comment.Hii habar nilidhani ya 2010 kumbe imeandikwa 2016..!!!
Thanks pia ndugu!Me binafsi nilikua sijui hii kitu na nilikua na tamani siku nyingi nijue thenks mleta Uzi si watu wote wanajua kila kitu
Kuna watu wapo dar ila kariakoo awapajui