Furaha ya mwanaume ni kuona mwanamke akiililia!!

mwanamke anapolia/lalamika huwa ina maana anapata raha....
Lakini hapo hapo kwenye kulia/kulalamika kuna kufake pia anajifanya analia kumbe hamna kitu hapo, inahitaji uzoefu kutofautisha hiyo milio

kumbe wengine tunapigwa changa la macho!!!
 
.... mademu wengine utasikia... NAUMIAAA NAUMIAAA NIACHEEE..... sitakii... Baadae ukimwuliza... Anasema alikuwa anasikia utamu, eti ndio swaga za ku do....
 
Hata akiwa anadanganya katika kujiliza poa tu, kulikoni bubu, maana kachuna ile mbaya hadi unaangalia usije ukawa unali'do godoro. Sauti au miguno ndio mpango mzima.........!

Ngoja niwape story ya mtaa wetu...kuhusu kulia....!

Nyumba ya kupanga ya vyumba sita ile ambayo juu hamna sealing bord.....! Katika nyumba hiyo kuna dada mmoja wa kipare, huwa wakianza mechi analia sio mchezo. Matokeao yake wamama ambao ni wapangaji wenzie, wakaamua kumshtakia yule dada wa kipare kwa mwenye nyumba ili awafukuze....kisa nini....eti, kila yule dada anapo'do lazima na wao wapelekewe moto na waume zao muda huo huo....yaani nyumba nzima siku hiyo watafanya kwakua huyo dada kalianzisha na mumewe.

True story.....!

Kibanga Msese
 
Mkuu hapo kwenye bold umenichekesha sana! Yaani inaonyesha kuwa siku huyo dada wa kipare akianza mambo ni nyumba nzima (Wapangaji, probably na mwenye nyumba) wanaingia kwenye zoezi!
Nawaonea huruma mabachela wanaokaaa nyumba hizo maana huishia kugugumia bila msaada na pia nina masikitiko kwa watoto wanaoishi nyumba hiyo maana wanakuzwa mapema kabla ya umri wao. Kweli mtaani kuna mambo!!!
 
Back
Top Bottom