Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 9,580
- 29,716
Nakuonea fahari sanaWachache sana.
Nakuonea fahari sanaWachache sana.
[emoji23][emoji23]Nakuonea fahari sana
Ni wakati muafaka wa mm na ww kufikia hatua hiyo.Nimeshuhudia.
Ngoja niwe mshenga tuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni wakati muafaka wa mm na ww kufikia hatua hiyo.
Ikishindikana uwe mshenga wangu kwa Supa woman1
Na wakwako Baadae watavuliwatu,labda uwe ha....s Karma itawamaliza tunyie waveaheni tu sie tunawavua tu
Hapana, hakutakuwa na ndoa tamu hapa.Ni kweli. Lakini si mwanamke pekee anayeweza kuvunja Ndoa yake. Hata mwanaume.
Ivi Leo hii ukachaguliwe mchumba na wazazi wako ili umuoe, na wakati unamchumba wako wa zamani mnaejuana kwa kila kitu. Kutakuwa na ndoa tamu hapo??
HayaNdoa ni Ndoa tu mkuu... Something chips kuku.. Sometime chukuchuku...
Sawa tuu mkuu.Ngoja niwe mshenga tuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]