Furaha katikati ya ufukara mkuu

Wanafurahia maisha na wameridhika
Mimi na wewe je tumeridhika na hali zetu
 
aaah! aaah! aaah! lakini umeshapata fununu wapi wanapogawa sukari ya bure hapa dar tupeane mchongo mkuu!
Sukari ni kiashiria (indicator)cha tatizo kubwa mbeleni....kwakuwa mfumo uliopita uliwalea baadhi ya watu wakawa untouchable
 
Tutarudi tu zama zile za kunywa uji wa chumvi......
 
Sukari ni kiashiria (indicator)cha tatizo kubwa mbeleni....kwakuwa mfumo uliopita uliwalea baadhi ya watu wakawa untouchable
hao matajiri wanaoficha sukari wafiche na wanawake basi ili nao tugaiwe bure maana siku hizi maisha kibinda nkoi kama huna fedha hukojoi...
 
Ndio faida ya kuwa mtoto
hujui hata kama wewe huna kitu...

cha ajabu watoto hawa hawa watakuja kuendesha magari mazuri huku wamekunja sura zao
na ukiwauliza watakupa orodha yashida walizo nazo...


'ignorance is bliss'...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…