Furaha haina mwenyewe

Furaha haina mwenyewe

ally ndunda

Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
23
Reaction score
3
5f2c5a7bf37dcf76a3f00bd9dfe27176.jpg
Katika maisha yoyote Duniani hapa lazima kuna kitu utakumbuka tu imma kiliikuuz au kukufurahisha.

Maisha yana mlima na mtelemko.
 
Umenigusa sana mkuu! kuna mwanamke nampenda xana coz of her moment! ila hakuna kitu kinachoniuza kama kumdanganya kwa dini ila nilifanya kwa sababu nahis ningemkosa! but now na.subir amalize masomo nimpasulie jipu! i hope alipangalo mungu mwanadamu hawez kulipangua! be i sory kwa kukudanganya! br all in all i love u
 
Back
Top Bottom