Fupi tamu jamani lakini ndefu hakika inakera

Fupi tamu jamani lakini ndefu hakika inakera

chung cho

Senior Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
191
Reaction score
42
Kwa wana JF mnasemaje juu ya huu msemo kwa upande wangu nahisi unamaanisha uume mfupi ni mtamu kwa mwanamke lakini uume mrefu unamkera wakati wa tendo la ndoa. Mada hii iko waz kuchangiwa na mtu yoyote. Thanx nawakilisha
 
huo msemo niliuona umeandikwa kwenye trailer moja ,nilikuwa na mdada namuheshimu pembeni yangu,sikutaka kuli overtake hilo lory makusudi ili nione reaction yake yule dada.
 
Utamu wa pipi ni mate yako na jinsi unavyopenda ladha ya pipi husika. Vile vile kila dereva ana style na umakini wake katika uendeshaji gari, cha msingi abiria aridhike, afurahie uendeshaji na afike salama safari yake. FULL STOP!!
 
Nipe mambo alivvyozidi kusoma kilitokea nn
 
LITERALY:KWELI FUPI TAMU,NDEFU INAKERA..
1175301_427431767367143_469602032_a.jpg
 
I don't really care... as long as you can make me orgasm.

Take what you have and use it well, never mind what everybody else has got.

halaf unaweza kudhani una mguu mdogo kumbe shida ni kwenye size ya kiatu ulichonacho
True,we better analyse from various angle
 
duuh!mbona uko anxious!!,anyway siri yangu yuko humu,tayari ameni PM.
 
I don't really care... as long as you can make me orgasm.

Take what you have and use it well, never mind what everybody else has got.

halaf unaweza kudhani una mguu mdogo kumbe shida ni kwenye size ya kiatu ulichonacho

Wewe ni mzoefu tusubiri na majibu ya wenzio tunaowaingizia ukuni.ila wangu ni kama ndizi bukoba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom