RIVI SHIRIMA
Member
- Jan 22, 2012
- 31
- 2
kweli nchi ye2 imekuwa chaka la wa2 wasiokuwa na hekma na busara .eti gorofa lililopo posta la poromoka je alaumiwee mkandarasi au serikali yanye mamlaka ya kukagua maendeleo ya mkandarasi,hapo rupia ilipenyezwa,watoto we2 kufeli kwa kiwango kikubwa na wakaguzi wapo na hapo patakuwa pana nn au ndo uongozi wa kishkaji hofu yangu,wanafunzi wenye vigezo vya kupewa mikopo nao hawapewi HESLB ya nn sasa au ndo michezo ya vifuu vya nazi na kombolela, basi mm nashukuru kwa mradi uliopo hapo NECTA ku apply 4m kurisiti 35000 mara wanafunzi waliofeli paspoti 5000 mara walio feli vituo vya kuristi 20000 kwa mwezi je mtawaponesha wazazi wenzangu, haya ni maneno yangu mwenyewe sijaambiwa wa kulazimishwa na m2