FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara)

FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara)

Hii ni kama ya yule bwana kuku sasa ipo kwenye nyuki hopefully bwana mbuzi na n'gombe wapo njiani....
 
Kingine mkuu Bagamoyo ni wilaya iko mkoa wa Pwani, unakosea kuandika mradi uko DSM we andika tu Pwani wenye nia watakuja tu hata iwe Katavi.
 
[emoji120] ndiyo kuna watu wapo ndani ya huduma tayari na sisi tuna mfano wa shamba letu pia . Karibu ujifunze ufugaji nyuki na maisha ya nyuki kiujumla.
Kwa kuanzia naweza pata mafunzo pekee kabla ya uwekezaji? Kama ndio je itanigharimu kiasi gani na kwa muda gani.

Sent from my D6616 using JamiiForums mobile app
 
Ilula Hills mnashughulika na nn? Unanikumbusha Mazombe....samahani nje ya mada
 
kwa hiyo mwishoni shamba eka 1 inakuwa yangu na hati zake
 
Back
Top Bottom