Ukiwa wewe ni mtanzania ambae unatamani kuanza ufugaji wa nyuki lakni hujui pakuanzia, huna mtaji wa kutosha ,huna eneo rafiki kwa ajili ya ufugaji n.k , sisi kama watekelezaji wa mradi wa FUNYUKI tunakupa shamba kuanzia hekari 1 ambalo unaweza kufuga kwa kutumia mizinga 10-70 katika mfumo wa open apiary (Manzuki za wazi), gharama za shamba na idadi ya mizinga kwa ujumla wake utatakiwa kulipia malipo ya awali sawa na 30% tu ya gharama zote.
Kisha 70% ya gharama zinazo baki utalipia kidogo kidogo ndani ya miezi 20 (Mwaka mmoja na miezi 8) wakati huo ukipata huduma zote zikiwemo usimamizi wa shamba lako , mafunzo ya kuvuna mazao ya kibiashara kama vile chavua ,huduma ya masoko n.k, endapo utamaliza deni lako lote TUTAKUPATIA HATI MILIKI YA SHAMBA LAKO hapo utakuwa na umiliki wa 100% ya shamba lako kisheria.
Ofisi zetu zipo Dar es Salaam Sinza Makaburini au Sinza Kivulini. Tupo wazi jumatatu hadi jumamosi saa 2 asubuhi hadi saa 11.30 jioni.
watsap me #0762936519 kwa maelezo zaidi.
NB : Jumamosi ya tarehe 26/3/2022 ni siku rasmi ya uzinduzi wa mradi huu ambapo tutatembelea site ili kujionea mashamba yetu yalivyo.
na karibuni sana.