Fununu😤

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
57,583
Reaction score
164,777
Kuna fununu nimezisikia eti, kuna miamba, wanawapa mimba wadada ikifikia miezi mitano wanashawishi itolewe, mdada akiogopa anafanya maarifa ya kuwa patia kombikit bila kujijua 🤔

Ikishatoka, kitu inazikwa halafu inafukuliwa na kuchimbwa mlangoni mwa biashara kwa masharti makali ya mganga kuvuta vibunda na kupiga pesa .

Wadada kaeni chonjo hizi stories nimesikia kwa mmalawi mmoja, ikifika bongo kwa wale wazee wa imani za hovyo mmekwisha.

Karibuni bia 🍻🍻
 
Acha kulewa muda wa kazi mangi
 
 
Binadamu hajawahi kuishia vihoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…