Mi nliomba B.A of Tax hii ilikuwa ina taka watu 200 na first choic tuliweka wat 70 tu
Second nkaweka B.A ya Insurance and Risk Management i ilikua inataka watu 250 na waloweka first walikuwa kama 83 zote iz zilikua IFM na hazikuwa zina requirement ya BaM coz bam mm ni ****** wa kwanza Tanzania nzimaaa an ata 1+1=?? Cjui
Third nlipachika pachika tu coz nlijua hawawez nluka izo mbil za kwanza na mm srm yangu co kusoma Economics walann drm yangu ni kusoma Computer science ambapo mm na experienc sana na PC issues na CM ni fundi mmoja amaizing ata ukifatilia hum jamii na post zang kibao na nsha soma online coursez nying za Computer language kama C,assembly na java nk. But nliona nikiomba vmpter science ma ka E kangu ka bam wata nchinja nkaona niwwke tu izo vitu bob nkimaliza chuo io ajira hata nsipo pata haona tabu ntafanya mambo zangu zingine kabsaa mana ata cpend kusoma economics but hali imenibana sa n fanyaje nge lazmisha ku apply cmpter ngekuwa na lia kama ww bob w omba mi nacho target npaye cheti tu na kizika ndan naendelea na issue zang coz amsill young 20YRS bado sanaaaaaa bob