Endelea kuishi kwa fununu mpaka utaja stuka mmekuwa chama cha upinzani tena kisicho na wabunge kabisa!
Vipi madiwani 8 mliowatimua imekuwaje bosi wenu Nape awarejeshe kazini?
Hahaha chama hakina mkubwa, wote mna mndevu kama kambare wa Mto Luaha
Mwaka huu utahangaika na Chadema hadi uharo ukutoke. Hii nguvu unayoitumia kuhangaika na Chadema ungeitumia kupambana na ufisadi na madawa ya kulevya, nadhani Tanzania tungekuwa mbali.
Vipi kijana wa hayati mwl Nyerere upo?
Nadhani kwa jinsi CHADEMA wanavyo recruit viongozi wao hata wewe unaonyesha una sifa za kuwa kiongozi ndani ya CHADEMA.
Kuna hii ishu ya kusimamia uongo mpaka uonekane ukweli; nadhani kwa jinsi ulipotosha watu humu kuwa wewe ni kijana wa hayati mwl Nyerere na baadhi wakaamini, basi wewe ni tunu ndani ya CHADEMA.
Nauliza chama chako kimebariki biashara ya madawa yakulevya?
Maana sasa hivi kuanzia mjumbe wa nyumba kumi mpaka mwenyekiti wetu wote mateja,
Ile orodha mliyoiita ya wauza poda mlikuwa na lengo la kuwahadaa waislamu? Mnaacha kuwataja akina ze prinsi makuvugila kisha mnaleta majina ya waliofaulu kuingia kidato cha sita kisha mnasema ndio wauza madawa ya kulevya?
Hahaa kesha sana hapa kutetea tumbo lako!
Kwa kukiri kuwa CHADEMA kwa
sasa ni chama
kikubwa cha siasa nchini basi ungejitahidi kuficha upumbavu wako kwa
kutoorodhesha vigezo ambavyo kama ni vya ukweli basi chama kingeshuka
hadhi badala ya kuwa chama kikubwa......
thread ya kipuuz, kila kukicha unaota chadema tu...
Nauliza chama chako
kimebariki biashara ya madawa yakulevya?
Maana sasa hivi kuanzia mjumbe wa nyumba kumi mpaka mwenyekiti wenu
taifa wote mateja,
Ile orodha mliyoiita ya wauza poda mlikuwa na lengo la kuwahadaa
waislamu? Mnaacha kuwataja akina ze prinsi makuvugila kisha mnaleta
majina ya waliofaulu kuingia kidato cha sita kisha mnasema ndio wauza
madawa ya kulevya?
Hahaa kesha sana hapa kutetea tumbo lako!
sasa ataishije mkuu, hii ni ajira yake ila hufanya watu wasio na ufahamu!
Mkuu,
Kama ambavyo nimesema, wewe ni muongo muongo mno!
Katika mfumo wa elimu wa hapa nchini, hakuna mtindo wa kufaulu kidato cha sita, ni vyema ukawa makini ukiwa JF kuliko hata unapokuwa unafanya kazi zako za ufundi mchundo, maana humu JF ina hitajika akili nyingi, ila kazi zako zinahitaji zaidi nguvu.
Kuhusu majina, nadhani gazeti la jamhuri limejijengea sifa kubwa hapa nchini kwa kutoa habari za uhakika na zilizo fanyiwa utafiti wa kina, sio kama kijarida cha CHADEMA (Tanzania Daima), hivyo ile orodha ya watu 250 ipo sawa tu.
Endelea kuishi kwa fununu mpaka utaja stuka mmekuwa chama cha upinzani tena kisicho na wabunge kabisa!
Vipi madiwani 8 mliowatimua imekuwaje bosi wenu Nape awarejeshe kazini?
Vipi chama chako kimeshindwa kuwafukuza mafisadi na sasa kimebariki biashara ya madawa yakulevya kwa wanachama wenu kisa hamna pesa ya kuhonga wapiga kura 2015?
Hahaha chama hakina mkubwa, wote mna mindevu kama kambare wa Mto Luaha
mkuu y. nyerere kumbe ile list ya two fifty ni madenti wa skuli?
Wewe niwa kupuuzwa tu.
Hakuna laana iliyo zaidi ya laana ya kujifanya wewe ni mtoto wa Mwl. Nyerere na kumkana baba yako mzazi.
Kwa lugha nyingine, ulikuwa unamlaumu mama yako kwa nini hakukutana na Mwl. Nyerere kimapenzi ili uwe mtoto kweli wa Mwl. Nyerere kitu ambacho kimekufanya mpaka sasa kuwa engross na nyendo za Mwl. Nyerere.