JosephNyaga
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 291
- 232
Katiba ipo wazi hilo ni jambo amblo haliwezekani.hawezi kuteua mtu wa ukawa bila kufanya muafaka. kumbuka Mbowe hatambui na alitangaza watu wasusie kuapishwa kwa Magufuli leo.
Pia tarehe 19 ni mbali mno kuweka jina kwenye bahasha leo.
Unabuni tu. Hawezi fanya kitu kama hicho