Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,856 Aug 8, 2019 #1 Umeelewaje msemo huu ? ''Masikini hajui namna ya kula na tajiri,masikini anapopewa samaki anaanza kula kichwani''
Umeelewaje msemo huu ? ''Masikini hajui namna ya kula na tajiri,masikini anapopewa samaki anaanza kula kichwani''
sheremaya JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 5,201 Reaction score 13,358 Aug 8, 2019 #2 Matajiri wengi hawapemdi kula vichwa sasa wewe ukianza kula kichwa tajiri atakuachia nini.. Anza naye mkiani mkifika kwenye kichwa anakuachia kichwa chote nawewe ndio unapotajirika hapo.
Matajiri wengi hawapemdi kula vichwa sasa wewe ukianza kula kichwa tajiri atakuachia nini.. Anza naye mkiani mkifika kwenye kichwa anakuachia kichwa chote nawewe ndio unapotajirika hapo.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,654 Aug 8, 2019 #3 Idd Ninga said: Umeelewaje msemo huu ? ''Masikini hajui namna ya kula na tajiri,masikini anapopewa samaki anaanza kula kichwani'' Click to expand... UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO
Idd Ninga said: Umeelewaje msemo huu ? ''Masikini hajui namna ya kula na tajiri,masikini anapopewa samaki anaanza kula kichwani'' Click to expand... UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO
Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,447 Reaction score 8,723 Aug 8, 2019 #4 Ukiona anakaa viti vifefu bar na wewe unaiga! Atakupiga chini!! Hata kama akikuita, daka soda na uambae!
Ukiona anakaa viti vifefu bar na wewe unaiga! Atakupiga chini!! Hata kama akikuita, daka soda na uambae!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,233 Reaction score 196,997 Aug 8, 2019 #5 Ngoja tuone... Cc: mahondaw