Funny Town Names and Locations

Mwali, njoo huku, EMT is on fire today.

Tunatafuta zima moto.

EMT, yule puppy wangu anaenda kufanya wax na pedicure sehemu za juu sana.
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa EMT we ni kiboko ya njia kiukweli!
 
Last edited by a moderator:
Ila jina la pale wales limenichanganya kidogo! Utafikiri siyo ulaya?!
 
Reactions: EMT
EMT hiyo bodaboda imenichekesha hadi mbavu kidogo zichomoke nje ya mwili! LOL!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
EMT hiyo bodaboda imenichekesha hadi mbavu kidogo zichomoke nje ya mwili! LOL!
 
Last edited by a moderator:
Baadae basi ngoja nikarushe roho hapa.

 
huenda wakati sisi tuna evolute kutoka masokwe watu,wazungu nao walievolute kutoka viumbe vingine vya ajabu.. hilo jina ni gumu sana hata kwa wakazi wa huko naamini!
Hilo hata sijui linatamkwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…