Funguo za Gari za KANYABOYA!!

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413

Jemeni hili tangazo la TCC Club limeweka funguo za magari 3.
kwa waliosahau wawasiliane nao wakazichukue, Hivi kweli mtu unaweza ukaondoka na kusahau funguo za gari?? Na kama kweli umesahau basi umeondokaje bila gari??
Mchango wangu juu ya hizi funguo
Hizi funguo ni kanyaboya tu, sio za kweli, siku hizi mijanadume mengi tu imekuwa na tabia za kutembea na funguo za gari kanyaboya, ili waonekane wanamiliki magari, na wakati wakipata kinywaji huziweka juu ya meza ili wapate kufanikisha malengo yao
Natoa wito
Kwa midume yote yenye tabia kama hizi ni bora wawache, ukijifanya una gari na ikajulikana huna utakuja umbuka. Sina zaidi ya hayo jemeni kwa leo hilo ndio darasa langu kwa wana JF wote- Mwaaaaaah nyote!!
 
Bwabwa umeongea point nzito sana, ni kweli kabisa hii tabia iko kwa watu wengi sana, ni bora kuachana nayo,
 

Bwabwa umeongea point nzito sana, ni kweli kabisa hii tabia iko kwa watu wengi sana, ni bora kuachana nayo,

tunajua kuwa mna mahusiano ya karibu!gambler UNAMTAFUNA huyo choko??.....

nimeanza kuwafuatilia tangu jana!TOKENI JF PLEASE
 
asee, nilikua nje ya JF yapata wiki sasa, kumbe kumeharibika namna hii??,
mkuu PLZ DO A NEEDFUL,
piga SERVER BAN hili dubwana, aarrrrgggggghhhhhhh.
 
hii kali..
jamaa wamepoteza funguo za magari halafu wameondoka na magari yao bila kuyawasha.
HII NDIO BONGO DUKINA
 

Bwabwa mbona unakazania mijanadume ndio imeacha funguo, yaani wakina dada hawawezi kufanya hivyo
hivi kweli umegeuka kiasi cha kuichukia kabisa jinsia yako, mbona unamkosoa Mungu kweupe kabisa,
 
Hivi wenye uwezekano wa kufanya hivyo ni midume tuu?? Mbona TCC kuna kina mama wengi tu wenye magari ambao kijiwe chao kikubwa ni TCC.
Mzee naona una vita kali na mijidume au wamekukorofisha fulani nini????
Unapozungumzia mijidume maana yake ni mwanamume rijali wa miraba minne tatizo nini? Samahani sana kama ninakukwaza lakini unajua maana ya hilo jina unalotumia???? Usije ukarusha ngumi bure
 
haha hahaha, nimecheka mpaka mbavu zinauma, kwa kweli huyu bwabwa ana point kubwa lakini, sasa na hii mwaaaaaaah ya nini tena??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…