[emoji23][emoji23]alikua na nyege tu bana....kuna demu nilimwambia nataka niuze hii dunia tukaishi Pluto akakubal na nikamnyandua ila wanawake bana
🤣🤣🤣 wewe jamaa sijui umefikiria nini hapa 😅kichwa cha juu kikifeli kuapply akili zake za kumdanganya danganya mwanamke tumia akili za kichwa cha chini kurecharge kichwa cha juu..
Kumpata mtoto wa kike lzm umdanganye yaan hata kama huna gorofa ww sema unalo ..tena wakijua tu umemdanganya hapo sasa ndio ata taka na yy apewe priorityHabari za usiku ..
Hakuna mwanamke anapenda kusikia ukweli kutoka kwa mwanaume yeyote yule... Amini na waambieni wanaume wenzangu.
Ukitaka kumpoteza mkeo, mpenzi wako au demu wako au mchepuko wako kirahisi kua mkweli kwake daima.. yani kila kitu mwambie ukweli na agundue kabisa humdanganyi hakika hatokaa hapo kwenye hayo mahusiano na wewe kabisa atakuona wewe ni fala tuu na hauna maajabu .
Fahamu wazi kabisa Wanawake wapo kihisia siku zote hawatumii akili kabisa katika maisha yao yote bali wanatumia hisia zao , na hisia zao zinawatuma wazi kabisa kuwa ukimwambia uongo ndio ukweli na ukimwambia ukweli ndio uongo and vice versa..
Hivyo wanaume wenzangu msiwasikilize hawa wanawake kabisa bali Tumieni akili kuishi na mwanamke hutojutia kamwe kichwa cha juu kikifeli kuapply akili zake za kumdanganya danganya mwanamke tumia akili za kichwa cha chini kurecharge kichwa cha juu..
Na wakati mwingine tumia vichwa vyote viwili mwanaume mwenzangu
Nb..Sasa msiseme hamkuambiwa.. shauri yenu
Hizi formula hazipindi zimetumika toka zama za mababu[emoji23]Mtajua amjui
Mimi sipo kwenye kundi hilo ni bora uniambie ukweli niamue kuukubali au kuukataa ili likinipata jambo nijue kabisa niliambiwa sio unidanganye nikija kujua sina msamahaHabari za usiku ..
Hakuna mwanamke anapenda kusikia ukweli kutoka kwa mwanaume yeyote yule... Amini na waambieni wanaume wenzangu.
Ukitaka kumpoteza mkeo, mpenzi wako au demu wako au mchepuko wako kirahisi kua mkweli kwake daima.. yani kila kitu mwambie ukweli na agundue kabisa humdanganyi hakika hatokaa hapo kwenye hayo mahusiano na wewe kabisa atakuona wewe ni fala tuu na hauna maajabu .
Fahamu wazi kabisa Wanawake wapo kihisia siku zote hawatumii akili kabisa katika maisha yao yote bali wanatumia hisia zao , na hisia zao zinawatuma wazi kabisa kuwa ukimwambia uongo ndio ukweli na ukimwambia ukweli ndio uongo and vice versa..
Hivyo wanaume wenzangu msiwasikilize hawa wanawake kabisa bali Tumieni akili kuishi na mwanamke hutojutia kamwe kichwa cha juu kikifeli kuapply akili zake za kumdanganya danganya mwanamke tumia akili za kichwa cha chini kurecharge kichwa cha juu..
Na wakati mwingine tumia vichwa vyote viwili mwanaume mwenzangu
Nb..Sasa msiseme hamkuambiwa.. shauri yenu
Bila nyie Hakuna maishaTafuteni mali nyie pimbi muwandike majina mama zenu, acheni kujadili wanawake muda wote....nyie vipi!!!!!
Hii ni kweli lakini sasa hautowapata wengi,[emoji23] mwanaume anataka ale pisi nyingi as possible, hii strategy ndo nzuri[emoji23]Mimi sipo kwenye kundi hilo ni bora uniambie ukweli niamue kuukubali au kuukataa ili likinipata jambo nijue kabisa niliambiwa sio unidanganye nikija kujua sina msamaha
Muda mwingine ndo maana mnaona waume za watu wanapendwa ni kwa sababu wanakuwaga wa kweli wanampa mtu choice ya kuchagua
(According to baadhi ya wanawake wenzangu[emoji3][emoji3][emoji3]
We run the world....😁Bila nyie Hakuna maisha