popoma JF-Expert Member May 5, 2017 2,379 3,357 Dec 12, 2017 #1 Ikitokea nafasi ya kubaki watu 2 utamchagua yupi ubaki nae humu duniani? NB;kama ukiona hii mada imekukera pita kushoto kinyume chake utanisababishia BAN karibuni sana
Ikitokea nafasi ya kubaki watu 2 utamchagua yupi ubaki nae humu duniani? NB;kama ukiona hii mada imekukera pita kushoto kinyume chake utanisababishia BAN karibuni sana
strugo JF-Expert Member Apr 22, 2017 1,237 1,838 Dec 12, 2017 #2 Culture Girl Natamani nikeshe nae humu siku zote
emt45 JF-Expert Member Jan 19, 2017 564 643 Dec 12, 2017 #3 popoma said: Ikitokea nafasi ya kubaki watu 2 utamchagua yupi ubaki nae humu duniani? NB;kama ukiona hii mada imekukera pita kushoto kinyume chake utanisababishia BAN karibuni sana Click to expand... Ninapenda kubaki na Mke wangu najua nitapata mengi ya mbeleni
popoma said: Ikitokea nafasi ya kubaki watu 2 utamchagua yupi ubaki nae humu duniani? NB;kama ukiona hii mada imekukera pita kushoto kinyume chake utanisababishia BAN karibuni sana Click to expand... Ninapenda kubaki na Mke wangu najua nitapata mengi ya mbeleni
popoma JF-Expert Member May 5, 2017 2,379 3,357 Dec 12, 2017 Thread starter #4 strugo said: Culture Girl Natamani nikeshe nae humu siku zote Click to expand... Vzur mkuu
popoma JF-Expert Member May 5, 2017 2,379 3,357 Dec 12, 2017 Thread starter #5 emt45 said: Ninapenda kubaki na Mke wangu najua nitapata mengi ya mbeleni Click to expand... Umpende sn mkeo ili upate utulivu wa moyo
emt45 said: Ninapenda kubaki na Mke wangu najua nitapata mengi ya mbeleni Click to expand... Umpende sn mkeo ili upate utulivu wa moyo