anasema Tanganyika iliungana na Zimbabwe
mkuu kazi ya mbunge ni kusambaza maji? Hebu fafanua hapa...Mie mbunge wangu John Mnyika, kila siku yeye kulalamika tu na kusambaza simu za viongozi kwa wananchi ili wawatukane. Ameshindwa kusambaza maji anasambaza matusi
Mie mbunge wangu John Mnyika, kila siku yeye kulalamika tu na kusambaza simu za viongozi kwa wananchi ili wawatukane. Ameshindwa kusambaza maji anasambaza matusi
poleni sana, ni miongoni mwa wabunge waliopewa majimbo bila kuyajua vizuri.nipo songea mbunge wangu nchimbi, muda si mrefu umeme unakatika
mimi sina mbunge
we mbunge wako sio Serurope kweli........? nina wasiwasi.......