Wanaonekana vizuri kabisa.hahaha omben ni swala kweli yule?ila hapo kwenye vifaranga ulifungua macho kweli kweli na kwingine upo sahihi kabisa
Mkuu naona wawili.Hapo kwenye ndege ujaniambia ana vifaranga wangapi?
hahaha!aisee ningekuwa mwalimu nadhani ningeshaachishwa manake nina hasira pindi usipoelewa!