Fungu la kumi

Fungu la kumi

Fungu la kumi inayojulikana kama zaka ni asilimia kumi (10%) ya mapata yako. Tuseme wewe ni mwajiriwa, unalipwa mshara mwisho wa mwezi, asilimia 10 ya mshahara wako unautoa kama zaka. Na pia hutakiwi kutoa zaka peke yake, zaka inatakiwa iambatane na sadaka.
Ndugu zangu, kuna baraka sana unapokua muaminifu kurudisha zaka kamili na sadaka (kwa wale wanaofanya hivi naamini watashuhudia). Tujitahidini sana kurudisha zaka na sadaka.



Malaki 3:10-12
[10]Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.

[11]Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi.

[12]Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema BWANA wa majeshi.
 
Nimekuelewa ila sasa pesa zetu Huwa ni zamafungu mafungu hapo sasa ndiye mtihani
Itabidi utoe kwenye kila fungu kiufupi fungu la kumi now ni kila mwezi kama kipato ni cha siku basi kila wiki utoe. Utaskia kwenye matangazo sadaka ya fungu la kumi kuna bahasha zinapita aliejiandaa achukue
 
kwahio masikini nawajane hamna habari nao kazi nikujenga tuu nyumba zawatumishi?
Nenda kanisani ukajitangaze wewe ni masikini sijui wewe ni mjane unaomba upewe huo mgao wa fungu la 10 utakachoambiwa utaelewa kwanini fungu la 10 sio kwa ajili ya masikini na wajane
 
Back
Top Bottom