Funga Wiki

Funga Wiki

nyamayao.jpg
Paloma, kwa mtindo huu watoto watakula nini sasa?
 
nilishakwambia sihitaji hicho kibox....kwa dar hii i need this..........
Paloma.. nipe price ya hiyo kitu.. fasta 2 nitarekebisha.. ntawagosha huku job mpaka watashaaa.. ilimradi upate kile moyo unapenda..
 
Last edited by a moderator:
hahahah umenikumbusha kuna siku mtoto alikuwa anaomba pepo litoke akawa anaomba hivi '' pepo toka amia kwa dada hafu wewe pepo upotelee kwa baba" nilicheka sana sikujua alifikilia nini mpaka akaomba hivyo.

Labda baba alikuwa anangonoka na "dada" na mtoto alijuwa!
 
Back
Top Bottom