kingunge akili yake ni sawa ya mtoto wa miaka 4 na nusu sasa hivi, hata wanaenda kumuhoji yawapasa wawe na tahadhari nae sana, sitimamu ni kama mgonjwa tu.
we waache waandishi hawa wakitupiwa sanamu kama ya wazirimkuu ndio watajua akili yake ikoje
Kingunge akili yake ni sawa ya mtoto wa miaka 4 na nusu sasa hivi, hata wanaenda kumuhoji yawapasa wawe na tahadhari nae sana, sitimamu ni kama mgonjwa tu.
hata mimi sina tofauti juu ya nimuonavyo Kingunge, uwezo wake wakufikiri umefifia jamani, nashangaa kwanini anazeeka vibaya, alifanya dhambi gani huko nyuma, mbona kawehuka mapema, Julius Nyerere mpaka anazeeka alikuwa timamu.Kingunge(Maurice Caetan kabla ya kubadili jina) naye bwana! Kuna nuts zimeanza kulegea kichwani anaongea bila kufikiri sometimes
hata mimi sina tofauti juu ya nimuonavyo Kingunge, uwezo wake wakufikiri umefifia jamani, nashangaa kwanini anazeeka vibaya, alifanya dhambi gani huko nyuma, mbona kawehuka mapema, Julius Nyerere mpaka anazeeka alikuwa timamu.