Funga mkanda yawakuna wasomi

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Funga mkanda yawakuna wasomi

Wasomi.jpg



Kwa ufupi
Katika mwongozo huo, Dk Mpango aliainisha mambo kadhaa ambayo ni vipaumbele vya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2016/17 na kutaja mbinu za ukusanyaji mapato, kudhibiti mfumuko wa bei, kuongeza mapato ya kodi na kupunguza matumizi ya Serikali.




Mwananchi @mwananchi.co.tz
 
viva magufuli vivaaaa...hadi ukawa wanakumbuka kuunganisha nguvu na zitto huku kunakucha...
 
Tutaheshimiana tu.................Tanzania mpya hiyooooooo naiona inakuja
 
Back
Top Bottom