Mkuu maelezo marefu ndio baishara yenyewe hata kama unauza juice tutahitaji kujua uko wapi kwa dozen unauzaje je unasafirisha mikoani?
Sasa kabla ya kuhojiwa maswali yote hayo lazima utiririke kila kitu ili kama maswali yanakuwa machache ila manunuzi yanakuwa mengi
Napenda kuweka cctv nyumbani kwangu lakini kwa tangazo hili maswali yatakuwa mengi sana badala ya kununua
Usijali mteja mmoja anaesema maelezo mengi huyo hana hata pagala