CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Nov 19, 2014 #21 grafani11 said: Umeadimika sana lakini.... Click to expand... Nipo kaka yangu, kuna mambo flani yananikeep busy aisee acha kabisa
grafani11 said: Umeadimika sana lakini.... Click to expand... Nipo kaka yangu, kuna mambo flani yananikeep busy aisee acha kabisa
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Nov 19, 2014 #22 charminglady said: Nipo kaka yangu, kuna mambo flani yananikeep busy aisee acha kabisa Click to expand... Lakini mwisho wa siku mfuko unanona au siyo? Nakuaminia...
charminglady said: Nipo kaka yangu, kuna mambo flani yananikeep busy aisee acha kabisa Click to expand... Lakini mwisho wa siku mfuko unanona au siyo? Nakuaminia...
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 12,901 Reaction score 14,611 Nov 19, 2014 #23 theki said: Swali A au B chagua moja sasa haya maelezo yote si tunachafua booklet letu bure tuu. Click to expand... Si vibaya tukiwa na mawazo tofauti tofauti. kwako wewe uliochokoza mada
theki said: Swali A au B chagua moja sasa haya maelezo yote si tunachafua booklet letu bure tuu. Click to expand... Si vibaya tukiwa na mawazo tofauti tofauti. kwako wewe uliochokoza mada