kabon14 JF-Expert Member Jun 14, 2016 1,233 867 Dec 30, 2016 #1 Habar zenu wakuu, Kama kichwa cha Uzi kinavyosema, ninamuhitaj fundi mzuri wa umeme wa majumbani Awe dodoma Kama yupo ani PM tafadhali..!! Ahsanteni..!!
Habar zenu wakuu, Kama kichwa cha Uzi kinavyosema, ninamuhitaj fundi mzuri wa umeme wa majumbani Awe dodoma Kama yupo ani PM tafadhali..!! Ahsanteni..!!
Miss Natafuta JF-Expert Member Sep 16, 2015 25,559 45,879 Dec 30, 2016 #2 mimi naitaji fundi bomba jmosi
LOGORIDDIM JF-Expert Member Jan 25, 2013 1,407 903 Dec 31, 2016 #3 kabon14 said: Habar zenu wakuu, Kama kichwa cha Uzi kinavyosema, ninamuhitaj fundi mzuri wa umeme wa majumbani Awe dodoma Kama yupo ani PM tafadhali..!! Ahsanteni..!! Click to expand... Mcheki huyu... 0755 309 522 / +255655620699 Anaitwa Msele. Ni fundi wangu pia.
kabon14 said: Habar zenu wakuu, Kama kichwa cha Uzi kinavyosema, ninamuhitaj fundi mzuri wa umeme wa majumbani Awe dodoma Kama yupo ani PM tafadhali..!! Ahsanteni..!! Click to expand... Mcheki huyu... 0755 309 522 / +255655620699 Anaitwa Msele. Ni fundi wangu pia.
mensaah JF-Expert Member Sep 12, 2016 927 1,311 Dec 31, 2016 #4 kabon14 said: Habar zenu wakuu, Kama kichwa cha Uzi kinavyosema, ninamuhitaj fundi mzuri wa umeme wa majumbani Awe dodoma Kama yupo ani PM tafadhali..!! Ahsanteni..!! Click to expand... Mkuu nina jamaa yangu fundi umeme mzuri mwenye uzoefu amefanya kazi na makampuni mengi ila kwa sasa yuko singida kwa mapumziko kama utamuhitaji uje pm nikupe contact zake ili muongee
kabon14 said: Habar zenu wakuu, Kama kichwa cha Uzi kinavyosema, ninamuhitaj fundi mzuri wa umeme wa majumbani Awe dodoma Kama yupo ani PM tafadhali..!! Ahsanteni..!! Click to expand... Mkuu nina jamaa yangu fundi umeme mzuri mwenye uzoefu amefanya kazi na makampuni mengi ila kwa sasa yuko singida kwa mapumziko kama utamuhitaji uje pm nikupe contact zake ili muongee
bitebo7 JF-Expert Member May 1, 2015 858 593 Dec 3, 2017 #6 skull said: Boss ulipata uyo fundi? Click to expand... Wewe ni fundi ama unahitaji fundi?